Monday, December 2, 2013

Gomesa Tv

Zanzibar yalalia 3-1 kwa Ethopia@ Kombe la CECAFA

 
 Ethiopia kwa upande wao waliiadhibu Zanzibar kwa jumla ya magoli ya 3 - 1 huku "Harambee Stars" ikibamiza bila huruma Sudan Kusini kwa jumla ya magoli 2 - 1. Katika mechi ya ufunguzi siku ya jumatano wakati Kenya na Ethiopia zilipokutana zilitoka sare ya bila kufungana huku Zanzibar wao walifunga Sudan
Kusini kwa jumla ya magoli 2 -1.
Kundi A linajumuisha Kenya, Ethiopia, Sudan kusini na Zanzibar wakati kundi B lina timu ya Tanzania, Zambia, Burundi na Somalia huku kundi C likihusisha mabingwa watetezi Uganda, Rwanda, Sudan na Eritrea.
Siku ya Jumapili kulitarajiwa kuwa na mechi ya kundi B ambapoTanzania na Somalia zilitarajiwa kumenyana vikali katika mechi ya awali majira saa 8:00 mchana kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi nyingine ya kundi B Zambia ambao ni timu mwalikwa ilitarajiwa kupambana vikali na timu ya taifa ya Burundi.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi