Wednesday, December 11, 2013

Gomesa Tv

Safari zangu ni za kikazi@Chuchu HansiMWIGIZAJI  wa filamu nchini, Chuchu Hansi amesema safari zake za India na Burundi zilikuwa kwaajili ya kazi zake binafsi na si za filamu.

Akizungumza na Bongo Unit, alisema safari hizo alitumia kwa muda wa wiki mbili, kwaajili ya kibiashara ili kuweka mambo yake safi wakati atakapokuwa kwenye tasnia ya filamu.

Alisema hata hivyo baada ya kurudi,  alifikia kufanya filamu ya  Vicent Kigosi ‘Ray’, ambayo ameimaliza siku si nyingi.

“Nilikuwa kwenye safari zangu za kimaisha na kazi zangu na sikuwa huko kwaajili ya filamu” alisema.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi