Monday, December 2, 2013

Gomesa Tv

Poul Walker wa Fast and Furious afariki wa ajali ya gari

 
Kwa wale wapenzi wa filamu za series ambazo zimekuwa zikibamba watu wengi za Fast and Furious, hawatakuwa mgeni juu ya jina la Poul Walker ambaye ni miongoni mwa nyota wakali wa filamu hizo. Kwataarifa ambazo hadi sasa zimeenea kwamba nyota huyo, amefariki duani katika ajali ya gari iliyotekea katika mji wa Los Angels nchini marekani.
Nyota huyo ambaye ilitegemewa zaidi kung'aa katika Fast and Rurious 7, nuru yake imezimika na kusababisha kupoteza baadhi ya radha ambayo watu wamekuwa wakiingojea kupitia vituko vyake.
Ajali hiyo aliipata akiwa kwenye gari lake dogo la kukaa mtu mmoja.
Mungu ailaze roho ya marehemu Mahala pema peponi .......Ameeen

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi