Tuesday, December 10, 2013

Gomesa Tv

Mpalestina amjibu Van Damme@ Atupa Dongo SerikaliniMwigizaji na mchekeshaji wa Palestina upande wa Gaza, ametoa kali baada ya kuamua kumchana mwigizaji  Jean-Claude Van Damme, kwamba sio yeye pekee ambaye anaweza kupiga msamba kwenye magari mawili aina ya Volvo, katika tangazo lililojulikana kama  "epic split,".

Video hiyo iliyoangaliwa na watu zaidi ya 58,918,209 ya Van Damme, ilimpelekea  mwigizaji huyo ambaye anajulikana zaidi kwa jinala Mahmoud Zuiter kutoka katika kundi la Tashwesh Production,
Lakini chaajabu katika video yake hiyo, walionekana watu kadhaa wakisukuma gari ambalo yeye ndio alilosimama kwaajili ya kupiga msamba, na alipoulizwa kwanini magari hayo yasiende yenyewe kama ilivyokwa Van Damme.

Alijibu kwamba tukio la Van Damme, yeye kalifanya kama lilivyo lakini ameonyesha utofauti kwamba anachomaanisha yeye, wapo watu wanasurubika kwaajili ya mtu mmoja.
Hivyo yeye kuonekana kwenye gari hilo akiwa amesimama, na wengine kulisukuma na ishara kwamba wapo wachache wanaweka pozi, wakati wengi wakiumia kutokana na pozi lile aliloliweka yeye.
Hebu angalia sanaa hii.
Na Van Damme ilikuwa hii hapa


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi