Tuesday, December 3, 2013

Gomesa Tv

Kanye West aipiga chini Nike@Azoa fungu Adidas


 
Baada ya uhusiano wake kusua sua na kampuni ya Nike, mwanamuziki nyota Kanye West, ameamua kukata mzizi wa fitina kwa kusaini mkataba mpya na kampuni ya Adidas.

Kanye ambaye kwa sasa anafanya vizuri kupitia wimbo wake wa  ‘Heartless’,amesema ameamua kufanya mkataba na kampuni hiyo ya German Sports Clothing.
“Nimekubali kuwa na Adidas kwakuwa mimi nauzika na familia yangu pia imekubali kuwa nao” alijigamba.
Kuhusu mavazi ya kampuni hayo mpya, alisema kwamba kwakuwa amekuwa mwanamuziki wa kwanza wa muziki wa Hip hop ambaye ni mbunifu, basi ataendelea kuwa mbunifu mkubwa zaidi ya Wal Mart.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi