Monday, December 16, 2013

Gomesa Tv

Jengua kuja na kundi la Makangalanga Entertaiment.
MWIGIZAJI  mkongwe wa tasnia ya maigizo nchini, Mohamedi Fungafunga ‘Jengua’, amesema ameshakamilisha filamu mbili kutoka klatika kundi lake jipya la Makalama Entertaiment.

Jengua alisema filamu ambazo tayari ameshazifanya kupitia kundi hilo ni Neno la Mzazi na Mafao ya uzeeni ambazo zote zimekamilika.

Alisema kwa sasa amejipanga kufanya filamu nyingi na maigizo kupitia kundi hilo jipya ili watu wajue kama amerudi upya.


 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi