Monday, December 23, 2013

Mohamed Gomesa

Huku ndo kufunga na kufungua mwaka kwa Mlela MSANII  wa filamu nchini Yusufu Mlela ‘Mlela’ anatarajia kufunga mwaka 2013 na kufungua mwaka 2014 kwa  filamu yake mpya ya Elimu Mtaani.

mkali huyo anasema  filamu hiyo anaamini itakuwa bora kwakuwa alijipanga kwa muda mrefu katika kuikamilisha.

Pia alisema hana ugonvi na msanii mwenzake Hemed Seleman, na maneno yanayosambaa kwenye mitandao ni ya uongo.

“Mimi nafanya kazi zangu na muda mwingi nipo kwaajili ya kazi, na sina mpango wa kuwa na bifu na mtu” alisema.


Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi