Wednesday, December 25, 2013

Gomesa Tv

Hii ndio zawadi ya Cyrill kwa X mass na Mwaka mpya


5106d48203954b74e6ea495e5c7f21b0 

Cyrill Kamikaze ametoa nyimbo mbili kwa pamoja maalum kwenda kwa fans wake kwa kipindi hiki cha sikukuu.
Member wa “Wakacha family” amesema kupitia facebook kwamba wimbo utakaokuwa downloaded sana ataufanyia video.

Wimbo mmoja unaitwa “Wanamwita” ft Amini na mwingine unaitwa Hatari sana.
Sikiliza ngoma zenyewe hapa na download uipendayo au zote kama ukizipenda.

cyril1cyril2 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi