Monday, December 16, 2013

Gomesa Tv

Dotnata kuja na Jani Kavu@ Ndani Kaseba na Pendo

 

MWIGIZAJI  wa filamu nchini Illuminate Posh ‘Dotnata’ amesema ataendelea kufanya filamu za mapambano, kwakuwa soko linahitaji mabadiliko zaidi.
Akizungumzia hali hiyo alisema baada ya kufanya vizuri
sokoni kwa filamu yake ya Bongo Mafia, sasa hivi ameshakamilisha filamu ya Jani kavu.

Filamu zake kwa sasa anasema atakuwa akiigiza yale matukio harisi ambayo yamekuwa yakiikumba jamii, na kupunguza idadi ya filamu za mapenzi ambazo zimekuwa nyingi.

“Wasanii wote wamekuwa wakifanya filamu za aina moja, lakini mimi nafanya filamu tofauti tena zenye uharisi” alisema.

Katika filamu hiyo, yupo yupo bingwa wa kickboxer upande wa wanaume Japhet Kaseba, kickboxer upande wa wanawake Pendo Njau.
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi