Saturday, December 21, 2013

Gomesa Tv

Daimond aangalia video ya Remix Number one na Watoto yatima

 


 Mwamuziki anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya kwa sasa, Daimond Platnum ameamaua kuzindua wimbo wake mpya wa My Number One Remix, aliofanya na Davido wa Nigeria, katika kituo cha watoto yatima Buguruni.
Mwenyewe Diamond alisema kupitia mtandao wa jamii;

Siku yangu ya leo baada ya Swalt Ijumaa niliitumia kutembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu Kilichopo Buguruni, ambapo nilikula nao chakula cha mchana, tukacheza na Kwa mara ya kwanza nikawapa fursa ya kutazama video yangu Mpya ya Number one remix... 

 Nakisha nikawapa Complimentary 50 za kuja kusheherekea na kutazama Live show yangu ya watoto itakayofanyika Leaders Club 25/12/2013 siku ya Christmass Mchana...!!!! Mwanza Msisahau usiku tuko huko!

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi