Tuesday, December 17, 2013

Gomesa Tv

Cpwaa bado ateswa na Beyonce wa Jay Z

 
 Baada ya mwanamuziki Beyonce kufanya mauzo makubwa kwa albamu yake, msanii wa muziki wa kizazi kipya Illunga Khalfani maarufu kama Cpwaa, ameendelea kuongea na mashakini wake kwa kuwaambia kupitia mitandao ya jamii kwa kuandika hivi.
Hata sisi tunaweza.Nataka nimpite Beyonce kwa mauzo iTunes...inawezekana kama mkinipa support ya kutosha kwa kununua album yangu "Pwaa The Album" ambayo pia inapatikana iTunes! mzigo huu hapa kwa 9.99$ album nzima na 0.99$ kwa kila single!

Yo fam i want to beat Beyonce's new album sales record in iTunes! All you have to do is buy my album "Pwaa The Album" on iTunes for 9.99$ only or 0.99$ per single! No seriously..... putting the jokes aside, buy my album!

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi