Wednesday, December 4, 2013

Gomesa Tv

Chozi filamu iliyokutanisha, Riyama, King Majuto na Baba Haji@ Mbavu mkononi.

 
Mchekeshaji King Majuto, anatarajia kuvunja mbavu katika filamu mpya ambayo atakutana na Haji Adam, na Riyama Ally. Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la Chozi, hivi sasa imeshakmilika na ipo mwishoni kuingia mtamboni kwaajili ya kufanyiwa maujanja, na  makeke kwaajili ya kuingia sokoni. Mwigizaji katika filamu ya Chozi
Waigizaji wa filamu hiyo, Haji Adam, Riyama Ally na Cameraman Koba.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi