Monday, December 2, 2013

Gomesa Tv

Baby Madaha na filamu ya The Gal Gradder @ kuzinduliwa 25 Desemba

Photo: SHE WHO IS NAT COURAGEOUS ENAF TO TAKE A RISK.....WILL ACCOMPLISH NOTHIN'IN LIFE....TRUST ME 
MWIGIZAJI  na mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva katika staili ya Dance hall, Baby Madaha, amesema filamu mpya aliyoigizia Kenya The Gal Gradder inatarajia kutoa 25 Desemba.

Akiongea na Bongo Unit, alisem filamu hiyo ambayo inamilikiwa na kampuni ya Candy n Candy, ameifanyia katika miji ya Nairobi na Mombasa nchini Kenya, na sehemu chache za Tanzania.

Alisema filamu hiyo itakuwa nzuri, kwakuwa waliofanya filamu hiyo si wababaishaji wanachojali ni ubora wa kazi na sio ilimradi ikamilike.
“Filamu imekusanya watu wa kila aina tumeingia mitaani, na kila sehemu si unajua Candy n Candy wapo kikazi zaidi,” Alisema.

Photo: GAL BLADDER movie is currently being shot. here are some photos from the shoot. WARNING: not for the faint hearted
Moja ya Scene katika filamu hiyo.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi