Thursday, December 12, 2013

Gomesa Tv

Baba Haji Kuongeza Elimu ya SanaaNYOTA  wa filamu nchini Haji Adam, amesema atahakikisha elimu yake anasaidia sanaa ya filamu kufika mbali kwa kiwango kile kinachotakiwa.

Akizungumza wakati akiingoza filamu ya Wekeza Inalipa, mhitimu huyo wa chuo cha sanaa Bagamoyo ‘TASUBA’ alisema, sasa sanaa imetanuka ni vizuri zaidi wasanii wakaisomea.

Alisema kwasasa amemaliza elimu ya stashada ya sanaa ya  uigizaji, lakini analego la kuongeza elimu zaidi ili kuweza kuifanya taaluma hiyo kwa kiwango cha juu.

Aidha alisema kama wasanii au waongozaji wa filamu, kama watakuwa wakiongezia na elimu taaluma waliyonayo itakuwa ya kiwango cha juu zaidi.

“Kipaji ukiongezea na shule basi unafanya kazi iliyobora, na kila mtu ataipenda kazi yako” alisema.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi