Tuesday, November 26, 2013

Gomesa Tv

Tp Mazembe wamwingiza Samatta tuzo za CAF@ Afrika Mashariki 2Wakati wachezaji wa nyumbani Tanzania, wakiendelea na migogoro na timu zao na hata kutimua makocha, Shirikisho la mpira wa miguu  barani Afrika CAF limetangaza majina ya wachezaji wa kiafrika watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2013.

Pia ametangaza Mchezaji bora wa Afrika anayechezea vilabu vya ndani ya Afrika kwa mwaka 2013.
Katika taarifa ya CAF,  majina hayo yapo majina mawili ya wachezaji wanaotoka Afrika Mashariki ambao ni Victor Wanyama raia wa Kenya anachezea Southampton FC ya England ambaye ni miongoni mwa wachezaji 25 watakaowania tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika.

Na Mbwana Samatta raia wa Tanzania anayechezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yeye ameteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika anayechezea timu za Afrika.
 Victor Wanya

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi