Thursday, November 28, 2013

Gomesa Tv

Poul wa P -Square atoa sababu ya kutooa pamoja na Peter@ Kisa wanawake
Najua unaweza kushangaa kuona nyota wa muziki wa Nigeria, Peter na Poul Okoye, hawajafunga ndoa pamoja ingawa walikuja duania pamoja na hata muziki wanaimba pamoja kupitia kundi lao la P Square.

Lakini Poul amesema kwamba kilichopelekea kutokuwa pamoja katika harusi hiyo ya kimila ya ni utofauti wa makabila ya wake zao, ambapo imewafanya washindwe kuchanganya kwa pamoja.
Anasema mchumba wake ambaye ni Anita anatokea katika kabila la Igbo, wakati mpenzi wa Lola mpenzi wa Peter anatokea kabila la Yoruba.

Hata hivyo Poul alisema haiwezi tena kutokea, na anatarajia kwamba atakuwepo pamoja kwenye harusi yao ya pamoja White Wedding, kwakuwa hataki ijirudie tena kuwa mbali na ndugu yake katika ishu muhimu kama hiyo.

 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi