Tuesday, November 26, 2013

Gomesa Tv

Ogopa waichelewesha video ya Temba na Madee@yashindwa kuonyeshwa Bilicanas

Baada ya kutangaza uzinduzi wa video ya nyimbo mbili, Chapa nyingine ya Saidi Juma 'Chege' na Hamad Ally 'Madee' mambo yamekuwa tofauti kidogo baada ya kuchelewa kufika kwa video hiyon na mashabiki wake kushindwa kuona kwa mara ya kwanza, an hatmaye kupokea burudani pekee.

Video ya wasanii hao ambayo imefanywa na Ogoapa, ya nchini Kenya ilifanywa kila hali na mali ili iwahi kufikwa na mashabiki walidhulia katika tamasha hilo, ndani ya ukumbi wa usiku wa Billcanas, washindwe kuiona na hatamye kuambuliwa burudani kutoka kwa wasanii hao, akiwemo na Shilole aliyekuja kusindikiza.

Hebu angalia picha zaidi za wasanii ambao walikuja kufurahi pamoja....
    
Saidi Fella akiwa na mkewe   

(MWANAMUZIKI Chege Chigunda akiwa na mwanamitindo Joketi))
 


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi