Thursday, November 28, 2013

Gomesa Tv

Mkali Jason Stathem kutinga The Fast and Furious 7Kwa wale wapenzi wa filamu wanaposikia jina la Jason Stathem basi wanaelewa zaidi mni mtu wa aina gani hapo anaongelewa. Unaweza kumkumba zaidi kwenye filamu kama Expendable 1,2. Basi kama haitoshi utarudisha akili yako hadi kwenye filamu kama Transporter 1,2,3.

Mkali huyo kwa sasa amejipanga kujiunga katika season mpya ya filamu ya The Fast and the  Furious 7, ambayo maarufu duaniani.
Hivi karibuni filamu hiyo, imetoa filamu yake ya The Fast and The Furious ambayo imeuzika sana na kufanya kuwa miongoni mwa filamu zilizouza sana ikiwemo Tanzania.
Lakini kikubwa zaidi msanii huyo, amesema hayo ni maandalizi kwaajili ya msimu wa filamu hiyo, ingawa kwa sasa anaitangaza zaidi filamu mpya ya Home Front.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi