Thursday, November 28, 2013

Gomesa Tv

Miti na Mabango vyaondolea kupisha mradi wa Barabara@ Kuelekea Uwanya wa Ndege

Barabara ya Nyerere kuelekea uwanja wa ndege inazidi kusafishwa na kutolondolea kwa baadhi ya mabango makubwa yaliyokuwa pembeni ya barabara hiyo,  ili kuitanua kwaajili ya mradi wa barabara ya magari ya mwendo kasi.
Huenda hali  ya kukamilika kwa mladi wa barabara za kuelekea Gongo la Mboto, ukapunguza kabisa kero ya foleni ambayo imeendelea kuisumbua barabara hiyo na jiji la Dar es salaam kwa ujumla.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi