Thursday, November 28, 2013

Gomesa Tv

Mavazi mapya ya Spider Man yapigwa chini @ The Amazing Spider Man-2 Kuzinduliwa 5 Dec, 2013Kwa wale wapenzi wa filamu za Spider-Man, hivi ungepewa nafasi ya kuchagua ni vazi gani ambalo inapaswa Spider-Man avae katika filamu mpya ya The Amazing Spider –Man2.
Mwongozaji mwenye malaka ya kukufanya ufurahi katika filamu hiyo, Marc Webb, alijikuta kwenye wakati
mgumu alipoamtuma mbunifu wa mavazi ya Spider-Man kuunda vazi jipya la Spider Man na kujia na mavazi makali lakini yakikosa ukijani na wekundu ambao watu wengi wameuzoea.
Alimsifu kwa ubunifu huo, lakini alishindwa kujua ni vazi gani hasa linastahili na wateja zake watavutiwa nalo, katika yale ambayo yalibuniwa na mbunifu, ambaye aliongeza njonjo kuliko.
 Hata hivyo amesema ubunifu ambao umetumiwa kwa sasa unalengo la kuonyesha mabadiliko zaidi ya Spider Man 2099. Filamu hiyo kuzinduliwa Desemba 5 mwaka huu
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi