Saturday, November 23, 2013

Gomesa Tv

Diamond akwepa kupigwa changa@ Lakini bado wamlia Timing

Mkali ambaye kwa sasa anafanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya, ameendelea kujitetea juu ya tangazo ambalo linaonyesha anatarijia kufanya tamasha  katika jiji la Brussels nchini Belgium, na kusema
hatokuwepo lakini watu hao bado wameendelea kutoa matangao. Cheki alivyoandika ( kuna Matangazo yanaendelea Kuwa eti  Tareh 07/12/2013 nna show mjini Brussels Belgium... taarifa hizo ni zauongo, SIZAKWELI!!!... Sina Mkataba wala Makubaliano na yoyote ya kuwa na Show huko tareh hiyo... Hivyo my Luvly Fans toka Brussels na nchi za jirani msije kuhudhuria maana Sintokuwepo......!
TANGAZO LINAENDELEA NA WATU WATAPIGA MAHELA... NINI MAWAZO YAKO? 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi