Friday, November 29, 2013

Gomesa Tv

Bob Junior azidi kuchafuliwa na Udaku@ Asema sasa TOO MUCHBaada ya magezti ya udakuzi kumwandama msanii wa kizazi kipya Bob Junior raisi wa Masharobaro kutoka Sharobaro Record,  amesema hali hiyo sasa imezidi mpaka na kusema watafikishana mbali.

Bob aliandika kupitia katika mtandao wa jamii wa Facebook kwa kusema;
UNAFKI MKUBWAA HUU DOOH HII TOO MUCH JAMANI HII NIMECHOKA TUTA PELEKANA SASA PABAYA KWELI DAIMMM WAJINGA HAWAA.

 haya ndo magazeti yaliyomwandika

 

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi