Thursday, November 28, 2013

Gomesa Tv

Binti anusurika kuvuliwa nguo Tazara @ Ukivaa nguo fupi, usipite maeneo haya.


Kwa wale akina dada mnaopenda kuvaa nguo fupi, inabidi siku hizi mjiadhali maana kumeibuka tabia ya vijana kuwakimbilia na kuanza kuwafunua nguo na wengine kuchaniwa kabisa.
Kuna dada mmoja amenusurika kuchaniwa nguo zake, katika njia panda ya barabara ya Tanzara, baada ya kuvaa nguo ya kumbana kiasi cha kuonyesha full nguo yake ya ndani.

Vijana wa eneo hilo ambalo huuza pipi, matunda na vitu vingine wakaanza kama masihara, na hatmaye wakaanza kujaa pole pole huku wakimfuata na kuanza kumtomasa makalio, yake jambo ambalo alianza kuhamaki kwa hasira.lakini kukasirika kwake ndiyo kama alikuwa akichochea moto, na hatamye kundi likazidi kuwa kubwa na kuzidi kunyemelea, kwa kuanza kumshika shika hadi polisi walipoamua kuingia kati na ndio ukawa usalama wake.
Hivyo wakina dada mjiadhari kabisa, kwani mtindo huu umezidi kueneo, kuanzia KARIAKOO, KARUME, MWENGE, BUGURUNI, ukijua umevaa nguo fupi au ya kubana sana, ujue utarudi mtupu.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi