Tuesday, November 26, 2013

Gomesa Tv

Baada ya Twanga Pepeta sasa Bongo Fleva na Ommy Dimpozi@Kalala Jr

Mwanamuziki ambaye alileta kizaazaa na kufanya bendi ya Mapacha Watatu kuwa kimya kwa muda mrefu  Kalala Junior, ametangaza rasmi kujikita kwenye muziki wa kizazi kipya, ambapo amesema anakuja na nyimbo ya kwanza akiwa amemshirikisha Ommy Dimpozi.

Kalala ambaye mtoto wa Hamza Kalala 'Komandoo' amesema kuja kwake kwenye muziki huu wenye kila aina vituko, ni kuchanganya radha kati ya Rhumba na dansi.

Mashabiki wake wameendelea kungoja kama ataweza kufanikisha kuwakonga nyoyo kama ilivyokuwa kwenye muziki wa dansi, hasa na kibao chake cha Nyumbani Ni Nyumbani, kinachofanya vizuri Twanga Pepeta.
Kazi kwako.............. lete ushauri wako.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi