Wednesday, November 27, 2013

Gomesa Tv

Aliyeigiza Mandela @ Kuwa kivutio tuzo za oscar MarekaniMwigizaji nyota wa filamu ya Mandela ya Idris Elba, anatarajiwa kuwa  kivutio kikubwa katika  tuzo za Osca,  litakalofanyika Newyork na Los Angel, Marekani Nov 29 mwaka huu.

Hivi unajua raisi  Rais wa Marekani Baraka Obama, ndiye aliyekuwa  mgeni rasmi katika Luninga kubwa ya ikulu ya White House, katika uzinduzi wa filamu Mandela; Long Walk to Freedom,  inayozungumzia maisha ya  aliyekuwa raisi wa Afrika kusini aliyepambana na ubaguzi wa rangi.

 Katika uzinduzi huo pia udhuriwa  na   mkurugenzi wa filamu hiyo,  Justin Chadwick, mwigizaji aliyeigiza kama Mandela,  Idris Elba, na wenzake  Pres na Naomie Harris, mtengenezaji wa filamu hiyo,   Harvey Weinstein, pamoja na  binti Mandela Zindzi na Zenami. 

"Kujua nini uhusiano wa Rais Obama na  Rais Mandela, ni heshima kwa ajili ya filamu hii kuonyeshwa katika White House," Weinstein alisema katika taarifa.idris elba white house mandela

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi