Mkalia mabye kwa sasa anafanya poa katika tasnia ya muziki wa kikzazi kipya, huku akikunguta vibaya sana katika tasnia ya Filamu nchini Hemed Seleman anatarajia kuzindua track yake mpya inayokwenda kwa jina la Rest Of My Life akiwa na Mr Blue. Uzinduzi huo ambao utapamba na wasanii wakali kama Jerry wa Rhymse, Mabeste, na wengine unatarajia kufanyika Club Billicanas.
https://www.facebook.com/gomesamohamedi