Monday, April 8, 2013

Gomesa Tv

Watu watoka nje ya nchi kuja kumzika tena Kaumba

 Baada ya wasanii wa Bongo Movie kumaliza kusali misa na kupita makabulini kwa marehemu Steven Kanumba walirudi wote Leaders Club, kwaajili ya kuangalia uzinduzi wa filamu ya mwisho wa nguli hiyo. Katika filamu ili ambayo iliandaliwa na Jack Wolper na kuzinduliwa na mama Kanumba na meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda.
 Wageni kutoka Ghana, waliudhulia ili kuonyesha ni jinsi gani walivyokuwa wakimkubali msaniii huyo mpaka kuamua kuja katika kumbukumbu yake.
 Hebu pata picha za matukio zaidi uone jinsi wasanii wavyoweza kushirikia katika kumbukumbu hiyo.Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi