Monday, April 8, 2013

Gomesa Tv

Waandishi walivyojumuika pamoja Leaders Club na Dr Mwakyembe

 Juzi waandishi mbalimbali walikutana kwenye tamasha maalumu, ambalo linafanyika kila mwaka. Katika tamasha hilo la kimichezo Waandishi kutoka kampuni mbalimbali ya vyombo vya habari hukusanyika pamoja na marafaiki zake na hatmaye kufurahi pamoja katika michezo mbalimbali, ikiwemo kuvuta kamba, mbio, Voolbal, na mingine mingi. Katika tamasha hilo la juzi mgeni rasmi alikuwa waziri wa Bandari Dr Mwakyembe, ambapo zaidi ya kuwashukuru waandishi lakini pia alitumia muda huo kujibu baadhi ya hoja alizowahi kuandikwa na kusema ni bora wangemuuliza angewapa stori kubwa zaidi kuliko kuandika bila ya kumuuliza.
 Waandishi kutoka kampuni ya TSN, ya Gazeti la Habari Leo, Sport Leo na DailyNews, wakijiandaa kuingia kwenye michezo ambapo walifanikiwa kuchukuwa kikombe kimoja.

 Mambo yalikuwa ni kukata maji kwenda mbele
 Bendi ya Extra Bongonayo ilifanya vitu vyake chini ya Ali Choki mzee wa Farasi.
 Wafanyakazi wa Tanzania Daima, Valeti Saidi Michael na rafiki yao
 Hii ndio Extra Bongo nyuma kabisa ni Super Nyamwela akiongoza ushambuliaji upande wa mauno
 Watu walitulia kufuatilia burudani
 Amini Mwinyimkuu 'Amini' naye alikuja kuudhulia, akiwa na wanamuziki wa Extra Bongo
 Ilikuwa zamu ya Choki kuangusha Sebene.
 Baada ya Extra Bongo kushuka walipanda jukwaani, timu nzima ya bendi ya Jahazi Modern taarab kwaajili ya kukongo nyoyo za waandishi.
 Hapa Choki akiruka karakasi.
 Kazi sasa ikawa kwenye taarabu na mzee Yusufu.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi