Friday, April 5, 2013

Gomesa Tv

Party ya Mr Kupa na Jimmy Mafufu ilivyonoga

Baada ya harusi ya Mr Kupa na Jimmy Mafufu kwenda vizuri, siku ya jumamosi ilifanyika shughuli maalum kwaajili ya kusherekea kwa mwanzo wa maisha mapya kwa wasanii hao wa Bongo Movies. Party hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Urafiki wa Social Hall.
Cloud 112 akifungua akitoa dua kwaajili ya wasanii wote
Dada Devota akiwa na Maya katika moja ya pilikapilika za kuhakikisha hakuna kinachoharibika

Jack Wolper akiwa mstari wa mbele katika harakati za kwenda kufungua shampeni kwa upande wa akina mama
Cloud 112 naye hakuwa nyuma katika kufungua shampeni kwa kina baba

Muda wa kugonga sasa
Seleman Barafu akiwa na Chuchu Hansi, na Nisha wakiwa wamependeza vibaya sana
Nani kakwambia mama Loraa hajui kucheza!! Hebu angalia hapa anavyoyarudi na William Mtitu
Barufu akiwa katika anga za kujiuza zaida

Maharusi wakikata keki, kwaajili ya kulishana
Acha weee!! Kwenye nafasi kama hizi huwa hakuna aibu, hapa Jimmy Mafufu akimpa keki mkewe kwa njia ya mdomo.

Recho akiwa kwenye pozi la kufa mtu
Huyu ndiyo Comedian Kupa, akitoa stairi yake ya kulisha keki kwa mdomo
Shughuli nzima iliratibiwa na kikosi hiki, hadi inakamilika... sasa walipewa keki ya hasante...
Snura akiwa kwenye pozi la upweke, wakati nyuma Single Mtambalike 'Rich rich, Hondo hondo Mlezi wa wana, Gentel Men na majina kibao akiwa na Chuchu Hansi.
Muda wa kupata msosi sasa
Mamaa Loraa akimtunza mkwewe wa Bongo Movie, Katauti au Ndikumana mume halali wa mwigizaji Irene Uwoya
Irene na Ndikumana wakiwa kwenye pozi la kimahaba
Dr Cheki akiwa na Ndikumana na Irene Uwoya
Jacob Stephan 'Jb' akiwa kwenye pozi
Nani kakwambia kuchezi kazi, hata mimi naweza- Mama Loraa
Ndani ni Shilole Classic na Mainda ndani ya pozi la pomoja

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi