Friday, April 5, 2013

Gomesa Tv

Ndoa ya Mr Kupa na Jimmy Mafufu yatimia

Wasanii kutoka Bongo Movie Jimmy Mafufu na Kupo, wakiwa katika harusi yao wakati huo Issa Musa Cloud 112, akiwa kama shahidi wa ndoa zote mbili. Harusi hiyo ya kiislam, ilifanyika eneo la Upanga Muhimbili, kwa mama maarufu kwa jina la mama Salma Mtambo. Katika harusi hiyo iliudhuliwa na wasanii kibao kutoka Bongo Movies akiwemo, Jb, Cloud, mama Loraa na wengine
Bibi Harusi akiingia kwenye shughuli
Cloud 112 akiwa na Saguda
Jimmy Mafufu akiozeshwa, na hapa akishikana mkono na mdogo wa bibi Harusi
Makupa naye alishikwa mkono kuozeshwa
Steve Nyerere naye akiwa mmoja wa wahudhuliaji mkubwa wa harusi hiyo
Jacob Stephan maarufu kama Jb akiwa kwenye pozi la kucheka baada ya kufurahishwa na mwenendo wa harusi
Jb akitoa dua la pamoja

Mama Loraa akiwa na mdau
Recho Saguda akiwa na mama Odama, kwenye pozi
Issa Musa Cloud 112, akitia sahihi kwa niaba ya ushahidi wa ndoa hiyo katika cheti cha ndoa.
Wanandoa wawili,

Mama Salma Mtambo

Mr Kupa

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi