Friday, April 5, 2013

Gomesa Tv

Mjue Devota mama kati ya mama wa Bongo Movie

 Ujue mwanamama Devota, ambaye ni mkali katika filamu katika Club zima la Bongo Movies. Hivi sasa ni miongoni mwa akina mama ambao wamekuwa wakiiletea heshima Club  hilo lenye wasanii maarufu kama Cloud 112, Jb, Vicent Kigosi, Johari, Jack Wolper  Irene Uwoya, Steve Nyerere, Single Mtambalike na wengine wengi
 Hata hivyo yeye ni miongoni mwa akina mama wachache kati ya vijana wengi, hadi kufikia kuitwa mama wa Clud hiyo akiwa na mtu mwingine wa karibu sana mama Loraa.
 Kutokana na ukarimu wake ameanza kupewa nafasi ya vyeo katika shughuli mbalimbali, ambazo zimekuwa zikianzishwa kwa kuwa wamemuona kuwa mstaraabu na mstari wa mbele katika maendeleo ya Club hiyo.
 Hata hivyo amekuwa mcheshi na mpendwa wa watu.
 Amekuwa makini kuhakikisha kwamba hawaharibikiwi katika kundi lao.
 Hebu pata picha zake zaidi akiwa kwenye poziGomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi