Saturday, April 20, 2013

Gomesa Tv

Meneja wa kwanzo wa Diamond Plutnum aja na mapya

(Meneja Chizo Mapesa)

Meneja wa mwanamuziki huyo ambaye anaitwa Ally  Amiri ‘Chizo Mapesa’  alisema amejipanga kumtangaza na kumuongoza kutokana na kazi zake.  Aidha meneja huyo ambaye pia likuwa meneja wa mwanzo wa mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond Plutnum’, alisema kwa muda mrefu aliacha kudhamini wasanii baada ya mara ya mwisho kuachana na mwanamuziki huyo.
Anasema kwa mara ya kwanza alimukuta nyota huyo ambaye kwa sasa anatamba na kibao cha Kesho na Nataka kulewa,  akiwa na wimbo mmoja wa Toka Mwanzo.
Anasema aliamua kuingia naye mkataba kwa muda wa miaka mitatu, na kwaajili ya kusimamamia kazi zake zote, ikiwemo chakula na mavazi.kazi zake za muziki, na tulifanya makubaliana hayo kwa mjumbe wa mtaaa wa Kongo Kariakoo” alisisitiza meneja wa zamani wa Diamond ambaye ni wasasa wa Mau G.
Baada ya kusainiwa mkataba kuanzia mwaka 2007 hadi 2010, ndipo nikasimamia kazi hiyo ya kwanza kuanzia matangazo, video na mavazi.
Anasema baada ya hapo ndipo wakaanza kwenda mbio katika kukamilisha kazi zingine, ambapo alitengeneza wimbo kama G Sachi, Wa kunesanesa na Si upo tayari ambayo yote mwaka 2008.
“Baada ya hapo niliibiwa vitu vyangu katika ofisi yangu na kuibiwa kila kitu” alifafanua.
Meneja anasema baada ya kuibiwa vitu vyake aliishia kabisa fedha, na ndipo msanii huyo alipoamua kuondoka na siku chache baadaye ilitoka wimbo wa Kamwambie.
Chizo Mapene amesema hivi sasa ameamua kurudi tena kwenye tasnia hiyo kwa kumdhamini kaka yake, ambaye kwa sasa naye amaamua kujikita kwenye muziki huo.
“Nimeamua kurudi tena kwa lengo la kufan ya kazi iliyokuwa bora na mtu ambaye namtegemea na kazi zake nimekuwa nikizipenda” alisema.
 

 Na Huyu ndio Mau G ambaye anakuja kufanya makali, kupitia meneja Chizo Mapesa
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi