Thursday, April 11, 2013

Gomesa Tv

Filamu ya Love & Power yaingia sokoni

 Kesho tarehe 12 ndiyo siku ambayo filamu ya Love and Power itakuwa inauzwa sokoni kwa bei ya shilingi 2500 kwa kila Cd moja.  Filamu hiyo ambayo ilizinduliwa siku ya kumbukumbu ya kifo cha mwigizaji huyo nguli nchini Steven Charles Kanumba. Pia filamu hiyo itakuwa ni ya mwisho kwa mwigizaji huyo, pia ni ya mwigisho kwa mwigizaji mwigizaji Sharo Milionea kwa kampuni ya Steps Entertaiment.
 Waandishi wakisikiliza wakati wa Press ya uzinduzi wa filamu hiyo
 Moses meneja wa Steps Entertaiment
 Nyovera mwongeaji wa kampuni ya Steps Entertaiment na Kambarage

Hii ndiyo filamu ya Love and Pouwer ya Marehemu Steven Kanumba na Sharo Milionea.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi