Thursday, April 11, 2013

Gomesa Tv

Fidodido anahitaji Saport yako


 Fido ni msanii ambaye ameanza game kitambo sana na alianza safari
yake ya kueleweka baada ya kujiunga kwenye crew ambayo anaitumikia
mpaka sasa ya mexicana lacavela, na kushiriki kwenye ngoma za kundi na
za wasanii solo walioko kwenye kundi ila mara baada ya kuhitaji
kusimama yeye kama yeye ndipo aliingia A.M REC na kufanya track
ilyoweza kumtambulisha kwenye ulimwengu wa mziki iliyotambulika kwa
jina la NESA NESA aliyomshirikisha msanii kutoka tip top conection
TUNDA MAN. hii ni nyimbo yake ya pili ambayo ameifanya am rec kwa mara
nyingine iliyoandaliwa na mdogo wake MANECKY anaefahamika kwa jina la
BOB! ni track ambayo official day released ni 22 dec 2012 kwenye
mitandao na club zote za mjini itakuwa released tar 23 dec 2012 na j 3
itakuwa ofisial kwenye media zote Tanzania

FIDO DIDO ANAHITAJI SAPORT YAKO YA KILA HALI ILI AWEZE KUWA
INTERNATIONAL ARTIST ILI AWEZE KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NDANI
NA NJE YA NCHI.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi