Wednesday, April 17, 2013

Gomesa Tv

Bi Kidude afariki dunia

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Taarab Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, Bi Kidude amefariki dunia leo. Mwanamuziki huyo ambaye alishawahi kuzushiwa kifo mara kadhaa, na baadae kujitokeza na kuongea kwamba bado yupo hai, hali iliyopelekea watu kutokuwa na imani juu ya taarifa zinazotolewa juu ya bibi huyo mkongwe. Lakini leo asubuhi taarifa zingine zimezagaa kwamba safari hii si mzaha tena, bali ukweli nguli huyo HATUNAE TENA DUNIANI. kupitia Blog hii ya BONGO UNIT... inapenda kuwapa pole Ndugu wa familia ya marehemu Bi Kidude, mashabiki wake, na Watanzania wote.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahara pema peponi.............. Amin

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi