Wednesday, April 24, 2013

Gomesa Tv

Batuli@ imeniuma sana kuambiwa nina kansa ya titi


 Mwigizaji wa filamu nchini Batuli, amewataka mashabiki wake kuondoa hofu kutoka na kutapaa kwa habari kwamba yeye anaugua ugonjwa wa kansa ya titi. Amesema hali yake ni nzuri na anaendelea salama na alifanyiwa operesheni nyingine tofauti na huo ugonjwa ulioandikwa humo. Hata hivyo nyota huyo amesema imemuuma sana alipopata taarifa hiyo.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi