Wednesday, February 20, 2013

Gomesa Tv

Msami wa THT kuitangaza Tanzania, MarekaniKIONGOZI wa kundi la kudansi la nyumba ya vipaji Tanzania ‘THT’,   Msami Giovann ‘Msami’  hivi karibuni amepata mwariko katika kundi la Jump Rope Dancers & Double Dutch ‘Waruka Kamba’  wa Marekani, ilikuwafunza mitindo ya Afrika hususani Tanzania.
Alisema mwaliko huo ameupata kutoka katika kundi hilo lililopo katika jimbo la Washington, Las Vegas, Ohio na baadaye kwenda kutembelea katika jiji la Newyork.Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi