Thursday, February 14, 2013

Mohamed Gomesa

Lamar aleta kundi jipya la ShosteezKUNDI  la wanamuziki watatu wa kike la Shosteez, limekamilisha wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la On the floor ambaqyo wanaamini itashika katika anga za muziki wa kimataifa.
Akizungumza meneja wa kundi hilo linaloundwa na Sally Salma,  Munzi Moru na Menynall Atike , Lamer wa Fish crub alisema  video ya wimbo huo imezinduliwa  katika usiku maalum wa  wapendanao ya Valentine Day.
Lamar alisema kwamba wimbo mzima umeimbwa katika lugha ya kiengeleza, lakini ukiwa na burudani zaidi ya kuchezeka jambo ambalo anaamini utafanya vizuri zaidi.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi