Wednesday, February 13, 2013

Gomesa Tv

Kitale kumtoa Sharomilionea mpyaMwigizaji  wa filamu za vichekesho na muziki wa kizazi kipya, Mussa Kitale ‘Kitale’ amesema amempata  wa kumrithi  Hussein Mkiety ‘Sharomilionea’ katika video ya wimbo wake mpya ya Hilo Toto ambao Sharomilionea ashiriki kuimba wimbo huo.
Kitale alisema mchekeshaji huyo kwake ndo atamchukulia kama mrithi wa Sharo katika kazi zake, pia atakuwemo humo na kushika nafasi ambazo ilibidi awepo sharo.
Alisema wimbo pia Sharo alihusika kama mwimbaji, jambo ambalo kwake linamfanya amkumbuke sana kwa wakati mwingine.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi