Wednesday, February 27, 2013

Gomesa Tv

JCB afunga ndoa Bomani na DianaNYOTA wa muziki wa Hip Hop kutokea Arusha, Jacob Makala ‘Jcb’ majuzi amefunga ndoa Bomani na mpenzi wake wa muda mrefu Diana Jorgensen wakati huo akijiandaa na ndoa ya kanisani mwezi wa tano.
Alisema ndoa hiyo aliifungia Bomani, ilikuweza kuharakasha mambo yake ambayo alihitaji kuyafanya hivi karibuni.
Mwanamuziki huyo pia amesha kamilisha albamu ya nne ya kundi lao la Watengwa, inayokwenda kwa jina la Full ile laani, iliyofanyiwa Paris Ufaransa.
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi