Tuesday, February 5, 2013

Mohamed Gomesa

Bell 9 kukamua Bills usiku wa Jumapili

Show ni Utambulisho Rasmi wa Single yake Mpya na Video ya Single yake Mpya Iitwayo LISTEN, Baada ya mda mref kutopanda kwenye Stej ya Club Bilicanas, Amepania kufanya kweli kwa kujiandaa kwa mazoezi ya nguvu ili kufurahisha m,ashabiki wake huku akisindikizwa na wasanii wakali wanaotikisa jiji wa miondoko ya hip hop na rnb ambao ni Ben Pol,Amiry Milly wa Rnb na Nikki Mbishi,Young Kila mkali wa Serengeti fiesta super nyota,Mkali wa Sinza Star Mansulii,Kala Jeremiah na Nash Mc wakali wa Hip Hip.

Mohamed Gomesa

About Mohamed Gomesa -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi