Tuesday, February 12, 2013

Gomesa Tv

Asnat avutwa Channel OBaada ya kutamba na wimbo wa Naomba Kidogo , Mwanamuziki Hasnat Conner ‘Hasnat’ ameombwa kupeleka nyimbo tano katika kituo cha televisheni cha Afrika Kusini Channel O.
Aliimbia Bongo Unit  mwanamuziki huyo,  ambaye hivi sasa yupo katika kundi la Kazi Kwanza  baadaya kuuzwa katika kundi la Mkubwa na Wanawe alisema tayari ameshapeleka nyimbo zote tano siku ya juzi.
Alisema ingawa alikuwa amehama kundi hilo, lakini kazi nzima ya kutengeneza na kupeleka nyimbo hizo zimefanywa chini ya uongozi wa mkubwa na wanawe iliyo chini ya Saidi Fella.
“Kazi tayari nimeshapeleka nachosubiri kusikilizia kama kuna lingine litahitajika, kwani yote namsikiliza Fella” alisema.
Nyimbo ambazo alizitunga na kuzituma ni  Sina Shaka,Mitungi,Naomba Kigogo,Nakunaku na Mapozi.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi