Wednesday, February 27, 2013

Gomesa Tv

Asha Baraka afanya hitima ya kwa wasanii


 Mkurugenzi wa ASET Entertaiment wamiliki wa Bendi ya Twanga Pepeta  Asha Baraka, juzi alifanya hitima maalum kwaajili ya wasanii wote wa muziki na uigizaji wa Tanzania. Asha alifanya shughuli hiyo katika ofisi yake iliyopo Kinondoni, ambapo kisomo hicho hakikubagua dini wala kabila la mtu.
 Wakina mama wakiwa kwenye hitima
 Kibosho wa Twanga Pepeta akipiga msosi
Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi