Tuesday, February 5, 2013

Gomesa Tv

Adam,Stara Thomasi, Banana watikisa filamu ya Broken FamilyNYOTA mwenye makeke katika uigizaji na mmiliki wa kampuni ya CIPK movies, Adam Kuambiana amesema atakuwa radhi kukukosolewa katika filamu yake ya Broken Family ambayo alikaa nayo kichwani tangu mwaka 1996.
Adam alisema aliitunza stori hiyo kutokana na kuwa na stori ya kweli kabisa, jambo ambalo lilimfanya aione kama arimasi kwake.
Adam anasema miaka mitatu iliyopita ndipo alipoanza rasmi kuandika na kuja kuigiza hivi karibu, lengo kubwa kutaka iwe ya kimataifa  ndiyo maana anaruhusu kukosolewa.
"Nitakuwa nipo tayari hata kurudi tena kuigiza kutokana na kuhitaji ushauri zaidi kwa wale watakayoiona awali kabla ya kuingia sokoni" alisema.filamu hiyo ilifanyiwa uzinduzi jana usiku, huku ikiudhuliwa na wadau mbalimbali ikiwemo wasanii wenzake na wanamuziki
Adam akiwa na Shilole
Banana Zorro akiwa miongoni mwa waigizaji wa filamu hiyo.

Stara Thomasi akiwa na Adam Kuambiana katika filam ya Broken Family


 Hizi ni picha ambazo zilikuwa zikifanyiwa uzinduzi wa filamu hiyo, hapa Cloud 112, akiwa katika hali ya umakini.
 Shamsa Ford, akiwa kwenye pozi
 Single Mtambalika akiwa kwenye pozi


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi