Friday, January 18, 2013

Gomesa Tv

Zola D kuwakusanya watu wa Afrika Mashariki

 
knock out imetoka sasa kimenuka kitaa pia nipo kwenye mandalizi ya kufanya rmx ya ngoma ya whats going on,utawasikia artist mbali mbali wa hip hop kutoka kenya,uganda,na tanzania wale wanaotikisa east africa wakipita kwenye hiyo ngoma na bonge la kideo kama kawaida yetu mimi na kaka yangu Benjamin wa Mambo Jambo,huku tukiwaombea dua ndugu zetu wa Kenya MUNGU awasimamie Uchaguzi na ufanyike kwa Amani na Upendo God Bless Africa, staying tune! jiwe baada ya jiwe wanaobana wabane tu mimi kamanda bhana nipo real mziki wangu utakuwa tu slow slow muimu na nyie artist mliopo chini ni kukaza tu kufanya mapini makali artist wote wamepitia misoto na masimango kitaeleweka inshallah hip hop whats z up ,ndaga fijo.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi