Monday, January 28, 2013

Gomesa Tv

Wasanii wa filamu waliijaza Dar Live


 Siku ya jumamosi ya majuzi wasanii wa filamu wote walikutana katika viwanja vya Dar Live katika tamsha la Siku ya Masuper Star Lengo kubwa lilikuwa kujenga urafiki na mashirikika mengine pamoja na kukusanya fedha zitakazo saidia kujenga Ofisi ya hadhi ya shirikisho la Wasanii maarufu kama TAFU chini ya raisi wa shirikisho hilo Simon Mwakifamba.  Katika tamasha hilo pia walimwarika Meya wa Ilala Jery Slaa, huku wasanii wenyewe ndio wakiwa watoa burudani wakubwa katika tamasha hilo
 Jerry Slaa akisalimiana a na wasanii wa filamu Tanzania
 
 Afande Sele ambaye alikuja kwaajili ya kuwaunga mkono wasanii wa filamu, akisalimiana na mafans wake
 Picha zilikuwa hivi, Huku Scopion Girl, Shilole na Snura balaaa tupu.

 Rich akionyesha mambo yake jukwaani


 Nani kasema Steve Nyerere hajui kucheza?

 Snura ndani ya kazi juu ya kazi
 Scopion Girl


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi