Wednesday, January 9, 2013

Gomesa Tv

Wanenguaji watatu wakimbilia Twanga Pepeta

 Bendi ya Twanga Pepeta, imepata wanenguaji wapya ambao wamepania kufanya makubwa kwenye bendi hiyo. Wanenguaji hao wametokea katika bendi ya Extra Bongo, wamesema lengolao kufanya makubwa katika bendi hiyo ya Asha Baraka.  Wanenguaji hao ni  Morine Mishebeduo, Happy wa Danger na Lightness
 Wamesema watu wamezoea kuona mauno jukwaaji, lakini safari hii wataona mauno pamoja na sarakasi kwakuwa wapo kwaajili ya kazi hiyo, na lengo kubwa ni kutoa burudani ambayo wamepanga kutoa katika viwanja vya Twanga Pepeta


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi