Thursday, January 10, 2013

Gomesa Tv

Ujio Mpya wa Unique Sisters huu hapa

 Kama wewe ni mpenzi wakweli wa muziki wa Tanzania, basi hawa wasichana lazima utakuwa unawajua. Walikuwa wanafanya mziki mzuri, huenda labda kukawa na tatizo katika tasnia ya muziki kiasi cha kufanya wanamuziki wa kike wengi kupotea na kutorudi tena katika tasnia kuliko hata wanaume. Si kitu kizuri sana, maana hadi leo wakina Madona nchini Marekani wapo, kwakuwa ndiyo wanasimamisha nembo ya wasanii wa Marekani. Sasa wanamuziki hao wanakuja kwa mtindo huu WANAITWA {1}RAHIMA {2}RADHIA{3}RADHINA KWA PAMOJA WANAITWA UNIQUE SISTERS AKA UNIQUE DADAZ,
KAA TAYARI KWA UJIO WAO MPYA,NEW SONG & NEW VIDEO,
AUDIO: BY MANEKE
VIDEO: BY PABLO.


Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi