Thursday, January 10, 2013

Gomesa Tv

Temba aibiwa vifaa vya gari yake aina ya Verrosmwanamuziki  wa kizazi kipya Amani Temba ‘Mh Temba’ amesema amerudishwa nyuma sana baada ya kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya Verros na mikatamba mbalimbali ya kazi na vitu vingine vilivyokuwemo kwenye gari hilo.

Akizungumza na mwandishi wa safu hii, alivitaja  alisema baadhi ya vifaa walivyoiba ni Power Windor zote, Camera, Dashboard, Cd, mawani na document zingine za kazi zake ikiwemo mikataba ya kazi.
Alisema gari hilo alililaza maeneo ya nyumbani kwake Mbagara ambapo mara nyingi amekuwa akililaza, lakini safari hii alipotaka kwenda kulichukuwa asubuhi alikuta vio vidogo vya nyuma vikiwa vimevyunjwa na kufunguliwa mlango.

“Wamechukuwa haki karatasi ambazo nilikuwa nataka kuzifanyia kazi zangu, mikataba yaani wamenirudisha nyuma sana” alisema.

Gomesa Tv

About Gomesa Tv -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

https://www.facebook.com/gomesamohamedi