Mwigizaji wa filamu wa Rashidi Waziri Matata amepata ajali ya kugongwa
na gari leo na kuumia vibaya sana hadi kupelekea kupelekwa katika
hospitali ya Taifa Muhimbili na kulazwa katika wodi ya Sewa hadi 18.
Taarifa zinadai msanii huyo kwa sasa amekatwa mguu mmja kutokana na
ajali hiyo. Wasanii wote wanaombwa kwenda kumuona na kumsaidia msanii
mwenzao kwa kile kilichomkuta, kwani kabla hujafa hujaumbika.
Rashidi Waziri Matata akiwa katika moja ya kava la filamu ya Nguvu ya Damu.
https://www.facebook.com/gomesamohamedi